Tangazo

Tangazo

NEEMA GASPA KUACHIA ALBAMU MPYA YA NI SHUJAA...

Jumamosi, 12 Oktoba 2013

TUJIKUMBUSHE YALIYOTOKEA KATIKA HARUSI YA STELLA JOEL HAPA DAR



Kulia ni Neema Gasperi na kushoto ni Madam Ruti nje ya ukumbi

Mjengoni
Stella Joel na mume wake wakiwa na wapendwa

Kulia ni Neema Gasperi na Madam Ruti
Bibi Harusi na Bwana harusi akiwa na marafikia
Rulea na Rehema Mrema
Rulea na Mama Nko
Rulea na Stara Thomas
Kutoka kulia ni Dutsan, Rulea Sanga. Mh. Martha na Apostle Gideon

MKUTANO WA INJILI KUUNGURUMA TEGETA KATIKA VIWANJA VYA MKANADA NA MCHUNGAJI ISAAC MWITI AKIAMBATANA NA MTUME PETER NYAGA WATAMTABNGAZA KRISTO. OFA YA UJASIRIAMALI INAPATIKANA RGC TABATA CHANG'OMBE


Tangazo limetengezwa na Rumafrica +255 715 851523

JOYOUS CELEBRATION YAPATA PIGO LA KIFO CHA MWANAKIKUNDI EMMANUEL SK MOTUBATSI



Marehemu Emmanuel SK Motubatsi enzi za Uhai wake

Aliyewahi kuwa mshindani wa shindano la Cocacola pop star na mwimbaji wa kundi mahiri la Joyous Celebration la nchini Afrika ya kusini mwanakaka Emanuel SK Motubatsi amefariki dunia siku ya alhamisi kwao Pretoria, Afrika ya kusini huku chanzo cha kifo chake bado hakijaelezwa ingawa kwa mujibu wa jumbe mbalimbali zilizotumwa kwenye ukurasa wake wa Facebook inaonyesha mwanamzuki huyo amekatisha uhai wake kwa kujiua, ushahidi unaotokana na ujumbe uliowekwa na mwimbaji mwingine wa zamani wa Joyous mwanadada Tebello Sukwene, pamoja na watuma ujumbe wengine.

Emanuel atakumbukwa kwenye kundi la Joyous ambako ameshiriki katika album ya 10 na 11 akitambulishwa zaidi kwa wimbo wa "You raised me up" na Sefefo sa moya" alizoimba akiwa na kundi hilo, huku kitambulisho chake ilikuwa nywele zake fupi alizokuwa ameweka rangi nyeupe. Moja kati ya sifa zake alikuwa na sauti nzuri sana iliyomfanya akaishia nafasi ya tatu kwenye mashindano ya Cocacola pop star mwaka 2003 kisha akaamua kujiunga na kundi la Joyous Celebration baada ya muda. Lakini pia marehemu alikuwa na uwezo mkubwa wa upigaji kinanda na vyombo vingine bila kusahau uimbaji.

GOSPEL ARTIST JOAN WAIRIAMU FILES FOR DIVORCE





A Nairobi gospel artiste known for the hit Pambazuka na Yesu wants to divorce her bishop husband. PastorJoan Wairimu Githuku and her husband have both filed cases in court accusing each other of adultery.
Pastor Wairimu has initiated the case at a Nairobi court where she seeks orders of separation.
But her husband, Bishop William Musyoki Mwangangi, has filed a cross petition asking the court to dissolve the marriage. The couple got married in 1996 in church.

But the two have recently been engaged in counter accusations over the divorce case, which is yet to start.
The accusations range from cruelty, adultery, watching of pornographic movies, denial of conjugal rights and issuance of death threats.

Pastor Wairimu is a gospel musician known mostly for her song Pambazuka na Yesu, which is popular on YouTube and is often downloaded as a ringtone by many Nairobians. She also runs Pambazuka Production and Queens Ministry.

Bishop Mwangangi, who is the head of Jesus Manifestation Church in Githurai 45, accuses her wife of denying him conjugal rights since 2009.
But Pastor Wairimu claims her has had many adulterous affairs with known and unknown women causing her to suffer great embarrassment.

She has listed five women including house girls she claims her husband has slept with since 1996.
She claims the bishop has sired a child out of wedlock as a result of his adulterous actions, but the bishop denies the accusation.

Bishop Mwangangi on the other hand claims that his wife, who recently moved out of their matrimonial home in Muthiaga North, has denied him his conjugal rights for the last five years.
He further denies that he has been exposing their three children to sexually explicittext messages and nude pictures of his lovers. The claims, he says, are imaginary and meant to malign him as a man of God.
“To the contrary, it is the petitioner (Pastor Wairimu) who has been watching pornographic movies in the house at night in the name of copying sexual styles whereas she has denied the respondent his conjugal rights for the last five years,” the Bishop alleges.

He says his wife has been cruel to him to the extent that she slept out of the matrimonial home without informing him and the children of her whereabouts. He has also linked her to various adulterous actions with some men since 2006. He claims the wife on several occasions made sexual advances to their shamba boys and a driver. Those who turned down the advances were sacked, the bishop says.
One of the drivers has filed an affidavit as a witness in support of the bishop’s case claiming that Pastor Wairimu made advances to him in April when her husband was away in South Africa for a mission.
She is also accused of bringing her lover to the matrimonial home for a sleepover in 2006.
Pastor Wairimu has also allegedly issued death threats to her husband telling him that he would kill him through food poisoning.
“Subsequently on July 29, 2013, the petitioner sent the respondent the message, ‘Baba X (name of their child omitted by The Nairobian), I will make sure that you will be a dead man’,” claims the bishop.
But the bishop is also accused by the wife of issuing many death threats to her and making her live in fear and causing her mental anguish.

Pastor Wairimu claims the husband on July 5 threatened her and she made a report to the police. The bishop was summoned by police and made to record a statement. He denies making death threats to the wife.
She further claims that the bishop has been verbally abusive and has physically assaulted her throughout their marriage.

The bishop, she alleges, has been rude arrogant and very demeaning to her in front of the children, housegirls and their relatives.

Pastor Wairimu accuses the husband of failing to take up his parental responsibility over the children and instead living a splashy and wasteful lifestyle, spending hundreds of thousands on expensive shoes, perfumes, and watches while the children’s upkeep has not been catered for.
The man has also allegedly not shown her love, even when she was involved in a tragic road accident making her feel unloved.

Bishop Mwangangi in turn accuses the wife of abdicating her role as a wife “five years ago by refusing to cook, do the laundry, clean the bedroom and all other role that pertains to a wife exposing the respondent to a lot of stress and turmoil”.

He claims her wife has on many occasions incited the congregation to move from church and go worship elsewhere alleging that the husband is not a man of God.
The parties are waiting for allocation of hearing dates by the registrar.-standardmedia.co.ke

Message from http://diasporamessenger.com

WEEEWEEE!!! WEWEEE!!! USIWAZE WALA KUPANGA KUKOSA SEMINA HII YA WANANDOA ILIYOANDALIWA NA WOMAN VOICE


Yangazo limetengenezwa na Rumafrica +255 715 851523 ingia www.rumaafricajobs.blogspot.com

WALIMU
Bahati Bukuku
Mama Tedy Kilasa
Miti Mingi

WAIMBAJI
Edson Mwasabwite
Madam Ruti
Manesa Sanga
Neema Gasperi
Jane Misso

WASILIANA KWA SIMU
+255 652 602945

KIINGILIO
10,000/-

ENEO
Sinza Mori- Ukumbi wa Kualalumba
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...