Tangazo

Tangazo

NEEMA GASPA KUACHIA ALBAMU MPYA YA NI SHUJAA...

Ijumaa, 27 Septemba 2013

TINA SOAP INAPATIKANA KWA BEI POA SANA

TINA SOAP ni sabuni  nzuri sana kwa matumizi ya kuoshea magari, tiles, bafuni, chooni, masink, jikoni na sehemu mbalimbali ili kuangamiza wadudu kama vile mende, inzi, sisimizi n.k
Jipatie sasa kulinda afya yako...!!!

Sticker zimetengenezwa na RUMAFRICA +255 715851523



Mtangazaji wa Praise Power Radio, Christina Mtua akiwa katika ofisi ya Rumafrica Sinza Afrikasana hapa jini DSM

HIVI NDIVYO JENGO LA WESTGATE LILIVYOPOROMOKA BAADA YA MLIPUKO HUKO KENYA...

Kupomomoka kwa jengo la ghorofa tatu ndani ya Westgate Mall baada ya mlipuko uliosababisha vifo vya magaidi wa 5 na na wengine 11 kushikiliwa na Polisi siku ya Jumamtatu Sept 23, 2013 kama unavyoonekana katika picha magari yaliyokua yameegeshwa juu ya paa la magesho ya magari yakiwa yameanguka chini kwa mlipuko huo. Westgate


Conflicting reports: A minister said the terrorists had set mattresses on fire, causing the roof to collapse


Paa la maegesho ya magari likiwa limebomoka kutokana na mlipuko huo.


Assessing the damage: Kenyan government officials accompanied by armed security officers tour an outside upper level near a collapsed floor of the Westgate mall


Wananusalama wakijadili jambo baada ya jaribio hilo la Westgate Mall kuzimwa baada ya mlipuko uliosababisha jengo la ghorofa 3 kuporomoka baada ya magaidi wa Al Shabab kuvamia Mall hiyo siku ya Jumamosi Sept 21, 2013 na kusababisha vifo nya watu 69 na wengine 175 kujeruhiwa huku kikundi hicho cha Kigaidi kudai kwamba hawataishia hapo mpaka Kenya itakapoondoa majeshi yake Somalia.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi



Picha za nje ya jengo la Westgate hazioneshi uhalisia wa hali iliyoko ndani ya jengo baada ya shambulio la kigaidi Jumamosi iliyopita jijini Nairobi, Kenya na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 70.
a7
Picha hizi zinatoa picha halisi ya jinsi jengo hilo lilivyoharibika vibaya kwa ndani baada ya ghorofa tatu za jengo hilo kudondoka baada ya kupigwa mabomu katika mchakato wa kukabiliana na magaidi.
a6 Hivi ndivyo jengo la West gate linavyoonekana kwa nje

Picha hizi pia zinaonesha jinsi magari yaliokuwepo eneo la maegesho ya magari katika jengo hilo yakiwa yameharibiwa kiasi kwamba kuna mengine ambayo huenda hata wamiliki wanaweza kushindwa kuyatambua.
a1
a2
a3
a4
a5
a8
a9 Picha: Nairobi Wire, Mail Online

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI VICTOR RUMISHA AME-RELEASE ALBAMU YAKE YA NAKUAMINI...IKO SOKONI SASA




DVD Cover imetengenezwa na RUMAFRICA +255 715 851523

KITABU CHA NGUVU YA UPONYAJI NA MAOMBI CHA MTUME PETER NYAGA KITAKUWA SOKONI HIVI KARIBUNI


Cover limetengezwa na RUMAFRICA +255 715851523

MSIMAMIZI WA MALI ZA DK.KULOLA ATAJWA KUSIMAMIA MALI ZOTE.


Habari inatoka Gospel Vision Tanzania
Hatima ya Kansia la Evangelistic Assemblies of God (EAGT), baada ya aliyekuwa mwasisi wake, Askofu Mkuu, Dk. Moses Kulola, kumaliza kazi yake duniani, inasugua vichwa, huku Makamu wake akiwa na kipindi cha mwaka mmoja  na miezi kadhaa kabla ya mrithi halali jina lake. Aliacha ukuu na mamlaka mbinguni, alipoteza vyote, hata mwili na heshima yake, akatufia msalabani, alipomaliza kazi akatuachia wosia wa kuenenda ulimwenguni kote kuihubiri habari njema za Ufalme wa Mungu. Huo ndio wa maana kuliko vyote. Inatupasa sasa kukubali kuacha vyote ili tunapoihubiri injili iwe halisi kwetu na tusiwe kwazo kwa watu wasiookoka. Watu wanatusoma kama barua wanategemea maisha yetu yatoe taswira nzuri kwa watu wengine, ili wamwamini Bwana Wetu Yesu Kristo.”

Tena akaongeza: “Nilifurahishwa na jambo moja kuu katika maelezo ya Askofu Dk. Mtokambali, kwenye taarifa yake kwa waandishi wa habari, aliposema kuwa, milango iko wazi kwa majadiliano ya upendo ili kumaliza mgogoro wa mali, nadhani huo ni ufunguo wa kufikia maridhiano, tukumbatiane tuonesha upendo wa kweli wa Kristo.”
Marehemu Askofu Mkuu, Dk. Moses Kulola
Akifafanua zaidi alisema: “Sisi ni mwili mmoja katika Kristo Yesu, tunalima katika shamba moja  na tunavuna katika shamba hilo hilo, mambo ya  mgawanyiko kama wa kanisa la Korintho, ambapo watu walijiita wa Paul, wa kefa na wa Apolo, hayawezi kuushinda upendo wa Kristo. Ukristo halisi ni kupoteza vyote na kupata mbingu.”

“Jamani mbona tunakuwa kama kaka wa mwana mpotevu? aliyelalamika wakati ndugu yake (mwana mpotevu), anapochinjiwa ng’ombe. Lakini tukumbuke moyo wa babaye ambaye hakujali mali za dunia hii, bali alifurahi kuungana tena na kuwa familia moja.  Natamani siku moja EAGT na TAG, wakawa tena familia moja wakiaminiana wakipendana na kula pamoja. Namlilia Mungu aivunje vunje miyo ya watu waukumbuke upendo wa Kristo.”

Kisha anaendelea: “Kwa kuwa TAG, wamefungua milango ya kumaliza haya mambo kwa upendo, ni wakati wa EAGT, kuchukua nafasi ya mwana mpotevu na kurejea nyumbani, kukaa chini kuzungumza haya mambo kwa upendo wa Kristo, kuwa tayari kwa yote kwa kuwa mahakama kamwe haiwezi kuleta upendo kwa wanandugu wa kiroho waliotofautiana. Nina hakika mwamuzi wetu ni Bibilia na kamwe hukumu za mahakimu na majaji haziwezi kuturejeshea upendo, najua baba zangu watasoma maoni yangu haya, nawasihi wayachukulie umakini kwani jamii inashindwa kuyaona yale tunayohubiri katika matendo.”

“Hapa simaanishi EAGT, ife na kurudi kuwa kanisa moja la TAG, laahasha! Namaanisha kuwa ndugu wa kiroho, wanaoaminiana na kutenda kazi ya Mungu kwa umoja,upendo na mshikamano, ambao Askofu Mkuu wa TAG, Dk. Mtokambali ameurejea sana katika hotuba yake mbele ya wanahabari.”

Kanisa la EAGT, ambalo kwa sasa linaongozwa na Kaimu Askofu Mkuu, linatarajia kufanya uchaguzi wake mkuu mwaka 2015, ili kumpata mrithi halisi wa Askofu Kulola, aliyetwaliwa hivi karibuni.Miongoni mwa mambo yenye mijadala mikuu  ndani na hata nje ya kanisa hilo, ni swali la nani wa kuvaa viatu vya Askofu Kulola, na nani hasa aliyeandaliwa kuwa mrithi wa kiti hicho.

Lakini kutokana na uchunguzi wa chanzo cha habari hii, inasemekana kuwa, miongonmi mwa wale wanaotupiwa jicho ni Leonard Mwenzarubi, wa Kanda ya Kaskazini, kwa kile kinachoonekana kuwa ni mtu asiye katika makundi makubwa,  kama vile kanda ya Ziwa na Mbeya.

Hata hivyo bado kauli ya mwisho aliyoisema kiongozi huyo akiwa hospitalini imehifadhiwa kama silaha ya kuamua nani atakayeliongoza kanisa na kuimarisha mfumo wake wa kiuongozi.

Uchunguzi uliofanywa na chanzo cha habari hii umebaini kuwa baadhi waumini wa EAGT, bado wanatafakari kauli za mwisho za kiongozi wao ambazo zinatarajiwa kuamua nani akalie kiti chake.

Wapo wanaopendelea nafasi ya Askofu Mkuu kushikwa na mchungaji kijana atakayeweza kuzunguka nchi nzima kuliunganisha kanisa na kuondoa migawanyiko ya kikanda ambayo inadaiwa kuwepo hata wakati Dk. Kulola akiwa hai. 

MCHUNGAJI LUSEKELO MAARUFU KAMA MZEE WA UPAKO AINANGA CCM


Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) la Ubungo Kibangu, Anthony Lusekelo, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinashinikiza kusainiwa kwa Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wa mwaka 2013, ili ipatikane katiba itakayokibeba chama hicho.
Wakati Lusekelo akieleza hayo, Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gosper Bibble Fellowship (FGBF), Zacharia Kakobe, amesema kuwa diwani, mbunge, waziri na rais haina maana kuwa una mamlaka yote dhidi ya Watanzania.
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) la Ubungo Kibangu, Anthony Lusekelo 
 Kauli za viongozi hao wa dini, zimekuja katika kipindi ambacho vyama vya siasa, wanaharakati na wananchi wamekuwa wakimshinikiza Rais Jakaya Kikwete, kutosaini muswada huo na badala yake, urejeshwe bungeni, ili ukafanyiwe marekebisho kwa maelezo kuwa una kasoro nyingi.

Akizungumza na chanzao cha habari hii Lusekelo maarufu kama ‘Mzee wa Upako’ alisema CCM inatambua kuwa mapendekezo yaliyomo katika Rasimu ya Katiba kama yakipita, chama hicho kitakuwa katika wakati mgumu, hivyo ni lazima kihakikishe kuwa hatua hiyo inakwama.
“Hiki chama kinaweza hata kung’oka madarakani kama mapendekezo ya sasa yatapita. Namshauri Rais Kikwete asikilize malalamiko ya Watanzania kuhusu muswada huu, asisaini na aurudishe bungeni ili ufanyiwe marekebisho,” alisema na kuongeza kuwa;
Kitendo cha wabunge wa chama kimoja kuwa wengi katika Bunge la Katiba, Zanzibar kutokushirikishwa katika utoaji wa maoni na Tume ya Mabadiliko ya Katiba kumaliza majukumu yake baada ya kukabidhi rasimu katika Bunge la Katiba, ni kasoro kubwa zilizoibuliwa na wanasiasa lakini zikapuuzwa.
Mbali na kuiponda sheria ya mabadiliko ya katiba, Lusekelo alisema lingekuwa jambo la busara kama Bunge la Katiba lingekuwa na wajumbe ambao sio wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa upande wake, Askofu Kakobe wakati akizungumza katika ibada ya misa ya pili kanisani kwake
Mwenge Dar es Salaam, alisema viongozi wa nchi wamechaguliwa kwa neema ya Mungu, wasitumie nafasi zao kuamua kila jambo hata kama halina maslahi kwa nchi na wananchi wanaowaongoza.
“Viongozi wanatakiwa kuacha kujigamba na kujiona wao ni kila kitu, nafasi walizonazo ni dhamana tu na siku moja Mungu anaweza kuwanyang’anya na kuwapa wengine,” alisema kiongozi huyo wa kidini.

Source:mwananchi

Jumatatu, 16 Septemba 2013

STELLA JOEL APATA MUME MWEMA KUTOKA KWA BWANA...!!!!


PICHA ZIMEPIGWA NA RUMAFRICA +255 715851523

Mungu ni mwema na ni Mungu wa vitendo. Baada ya maombezi makali ya kila mtu kumtafuta yule ampendae, Mungu aliweza kujibu kilio cha Stella Joel na mpenzi wake Yerimo kwa kufanikisha ndoa yao iliyofungwa katika kanisa la Pentecostal Holiness Mission Light House Christian Center Ubungo na tafrija kufanyika katika ukumbi wa Mawasiliano Ubungo jijini Dar esa Salaam siku ya jumamosi

UNAWEZA KUWASILIANA NA STELLA JOEL KWA SIMU HII  +255 756 846166 
AU +255715 049143


Stella Joel kutoka Bukoba (Mhaya)

Yerimo kutoka Iringa (Mhehe)

Bloga wenu Rulea Sanga aliyehusika ipasavyo kukuletea habari hizi na kupiga picha

MATUKIO KATIKA PICHA
SEHEMU YA KWANZA

WAKIANDAA SURA ZAO NA MAVAZI YAO





STELLA JOEL AKIELEKEA KANISANI AKITOKEA SALOON

Mwimbaji wa nyimbo za injili Madam Rutiu ndiye aliyekuwa dereva wa Bwana na Bibi Harusi


MAENEO YA KANISANI





WAZAZI WAKIMRUSHU BIBIU HARUSI KUPOKELEWA NA BWANA HARUSI KANISANI



Kulia ni mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Orida Njole


Kulia ni mwimbaji wa nyimbo za injili, Janet Mrema
Mwimbaji wa nyimbo za injili Tanzania, John Shabani


Mchungaji Mwasota
Mchungaji Mwasota akiangalia pete kwa makini kabla hajawakabidhi Bwana Harusi na Bibi Harusi kuvishana



v




KIPINDI CHA KUMPONGEZA MAHARUSI BAADA YA KUVISHANA PETE NA KUSAINI





Mdogo wake na Stell Joel (kulia)


KIPINDI CHA KUFUNGA IBADA-KANISANI




WAKATI WA KUELEKEA UKUMBINI ULIFIKA NA SASA SAFARI IMEANZA


 MATUKIO YA UKUMBINI ENDELEA KUTEMBELEA BLOGU HII

MUNGU WANGU NA AKUBARIKI SANA


KAMA UNAHITAJI HUDUMA YA PICHA WASILIANA NAMI KWA SIMU +255 715 851523



Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...