Tangazo

Tangazo

NEEMA GASPA KUACHIA ALBAMU MPYA YA NI SHUJAA...

Alhamisi, 26 Juni 2014

MAREHEMU SHEILA (RACHEL) HAULE NDANI YA FILAMU MPYA YA INSIDE ITAKAYOKUJIA KUANZIA JULAI 13.2014

Ile filamu iliyokuwa ikisubiriwa na Watanzania wengi ya INSIDE ya Jennifer Kyaka (Odama) itakuwepo sokoni 10.07.2014. Filamu hii ambayo imechezwa katika  mazingira ya ofisini ikionyesha vituko vinavyofanyika maofisi na wafanyakazi na pia mabosi. Kama kawaida ya kampuni ya J-Film 4 Life ndio iliyohusika katika kutengeneza filamu hii ambayo ukiangalia utavutiwa na kujua mengi kuhusiana na vituko vya vinatokea  maofisini
Ndani ya filamu hii kuna vituko vya ajabu ukisingatia yumo Majuto, Beny, Dullah, marehemu Rachel Haule, Odama na wengine wengi kama unavyoona katika cover. Jipange mtu wangu kujipatia hii nakala ambayo mpya upate kuongeza siku zako za kuishi kwa kicheko.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...