Tangazo

Tangazo

NEEMA GASPA KUACHIA ALBAMU MPYA YA NI SHUJAA...

Alhamisi, 26 Juni 2014

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI GRACE RWEGASHA AOMBA MSAADA KUTOKANA NA JINA LAKE KUTUMIA VIBAYA KATIKA FACEBOOK

Grace Rwegasha mabye ni mwimbaji wa nyimbo za injili ameombwa msaada kwa Watanzania wote kumsaidia kutatua tatizo lililomkumba la watu kutumia jina lake katika facebook kuweka picha mbaya yaani picha za ngono. Amesema hawa watu wanalengo la kuchafua huduma yake na jina lake kwa ujumla. Na hivi ndivyo alivyoandika katika facebook account yake:
Grace Rwegasha

NDUGU WAPENDWA KATIKA BWANA, NAWASALIMU KWA JINA LA BWANA WETU YESU KRISTO. KWA WALE RAFIKI ZANGU MNAOPENDA KUWASILIAN A NAMI , TAFADHALI HAKIKISHA JINA LANGU KWA USAHIHI, KWANI KUNA WATU , WANAOJIUNGA NA FACEBOOK KWA KUTUMIA JINA LANGU KWA KUONGEZA HERUFI MOJA KATIKA JINA. KWA HARAKAHARAKA WAWEZA FIKIRI NI JINA LANGU KUMBE SIO NA HABARI WANAZOWEKA KATIKA PAGE HIZO NI MBAYA.. NDUGU WAPENDWA NAOMBA MNISAIDIE KATIKA HILI. MBARIKIWE SANA.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...