Claudy P. Mwakalyasa ni mwimbaji wa
nyimbo za Injili Tanzania. Kabla ya uimbaji alikuwa dancer wa mwimbaji
maarufu sana Tanzania, Bony Mwaitege. Amekuwa naye kwa muda mrefu sana
kwa kazi ya Mungu. Claudy Mwakalyasa siku ya jana aliweza kuongea na
Rumafrika ambapo aliweza kuzungumzia maisha yake kabla ya kuokoka na
baada ya kuokoka. Claud moja ya sifa aliyokuwa nayo kabla ya kumpokea
Yesu Kristo kuwa mwokozi wa maisha yake, alikuwa ni mtu wa pombe sana
hasa kilevi cha ulanzi. Baada ya kusikia huduma ya Bony Mwaitege aliamua
kumfuatilia ili aweze kufanya naye kazi. Juhudi za Claud P. Mwakalyasa
ziliweza kuleta matunda na baadae akaweza kumpata Bony Mwaitege na kuwa
dancer wake.
Claudy P. Mwakalasya
Kuna mengi Claudy Mwakalyasa aliweza kufunguka juu ya maisha yake kabla ya wokovu na baada ya wokovu, njia alizotumia kumpata Bony Mwaitege ikiwa ni pamoja na kuomba vazi la Bony alivae ili apata kuwa kama Bony Mwaitege kwa kuimba, matatizo mbalimbali aliyopambana nayo katika huduma yake ya kucheza, sababu zilizomfanya aachane na ku-dance na Bony Mwaitege na kusimama kama mwimbaji, nini anazungumzia juu ya waimbaji wengine wa nyimbo za injili. Endelea kufuatilia habari zake kwa kupitia blogu yetu hii.
Unaweza kuwasiliana naye kwa simu +255 756 573 788 au +255 712 616 112
MUNGU WANGU WA MBINGUNI NA AKUBARIKI.
Source: Rumafrica
www.rumaafrica.blogspot.com

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni