Nimeaamini
kuwa kila jambo lina mwanzo na mwisho. leo Jumapili imefika siku ya
kumtukuza Mungu kwa njia ya uimbaji katika tamasha la kipekee Ubungo
Plaza ambapo mtumishi wa Mungu Mess Jacob atakuwa akizindua albamu yake
ya Mungu Habadiliki. Tunakuomba sana kufika bila ya kukosa kwani
kutakuwa na baraka za ajabu kwa njia ya uimbaji. Siku ya leo sio ya
kukosa katika maisha yako. Karibu sana
MHUSIKA WA TAMASHA

MHUSIKA WA TAMASHA
Mess Jacob Chengula wa Mungu Habadiliki
ALBAMU INAYOZINDULIWA
ALBAMU INAYOZINDULIWA

Albamu ya Mungu Habadiliki ya Mess Jacob Chengula
ENEO LA UZINDUZI NI UBUNGO PLAZA

Katika hotel ya Blue Pearl
MGENI RASMI WA TAMASHA HILI

Mgeni rasmi ni Naibu Waziri wa mawasiliano Tanzania Mh Januari Makamba
WAIMBAJI WATAKAIMBA SIKU YA LEO JUMAPILI UBUNGO PLAZA

Rose Muhando

Masanja Mkandamizaji

Atosha Kissava
ENEO LA UZINDUZI NI UBUNGO PLAZA

Katika hotel ya Blue Pearl
MGENI RASMI WA TAMASHA HILI

Mgeni rasmi ni Naibu Waziri wa mawasiliano Tanzania Mh Januari Makamba
WAIMBAJI WATAKAIMBA SIKU YA LEO JUMAPILI UBUNGO PLAZA
Rose Muhando

Masanja Mkandamizaji
Atosha Kissava

Bony Mwaitege

Upendo Nkone

Silas Mbise

Neema Gasper

Edson Mwasabwite
Madamu Ruti

Faraja Ntaboba
Bahati Bukuku
Mwanamapinduzi

Stella Joel

Enock

Miriamu Lukindo
Joshua Makondeko
VIINGILIO
VIP

VITI VYA KAWAIDA

WATOTO

TANGAZO LIMETENGENEZWA NA RUMAFRICA

Tembelea
www.messchengula.blogspot.com
www.rumaafrica.blogspot.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni