Katika shuhuda za Jumapili ya tarehe 7.7.2013 ambayo ni siku aliyozaliwa nabii Flora utapata kusikia juu:
1. Kupona UKIMWI
2. Mtoto aliyepotea kuppatikana
3.Mtoto aliyekufa akutana na baba yake maeneo ya Tandika Yombo.
4.kaka kuponywa kidonda kilichomsumbua kwa muda mrefu.
5. Watu kupata fedha na kulipa madeni yao
6. Aliyekuwa kichaa na kuvua nguo, sasa amemaliza masomo yake na ana masters.
7. Aliyekuwa hashiki mimba sasa ajifungua mtoto.
8. Aliyekuwa Miss Kanda Mashariki apona UKIMWI
Na shuhuda nyingi utaziapata
Baadhi ya watakaoshuhudia
MAMA ALIYEKUWA ANATAFUTA MTOTO APATA MIMBA
Bwana Yesu asifiwe;
mimi nilikuja hapa nilikuwa na tatizo la kutokushika mimba, nikamweleza Nabii
baada ya maombi ya Nabii nikapewa siku 21 nitakuwa ninamimba. Na kweli
zilipotimia siku 21 nimeenda kupima nimekutwa nina mimba, namshukuru sana
Mungu.
MISS KANDA
YA MASHARIKI-TANZANIA, MARTHA JULIUS APONA UKIMWI
Bwana Yesu asifiwe, mimi naitwa Martha Julius, nilikuwa miss kanda
mashariki (mkoa wa Morogoro, mkoa wa Pwani, na mkoa wa Dar es Salaam)
2004/005 na nilikuwa mshindi namba moja, na hii ilinisababishia kuingia
katika mashindano ya miss Tanzania 2004/2005. Mimi kabla sijaja hapa kwa
Nabii Flora niligundulika mwaka 2010 kuwa nina HIV. Baada ya hapo
nikaanza kuhangaika kutafuta tiba. Niliposikia Loliondo kuna uponyaji
nilienda bila ya mafanikio, baadae nikasikia kuna mtoto anaitwa Subira
yuko Masasi na huyo mtoto ni wa miaka 8 au 9 anaponyesha magonjwa yote.
Ukishuka Masasi kumfikia huyo mtoto lazima ulipie pikipiki shilingi
20,000. Nilienda kwa yule mtoto na nikakaa wiki mbili nikitumia dawa
zake, lakini sikuweza kupona.Ikabidi nirudi hapa Dar es Salaama na
nikajiunga na kanisa ambalo sitaweza kutaja jina, nikahudhuria maombi
lakini sikupata uponyaji. Siku moja nikaona habari za nabii Flora katika
mtandao, ninakaamua kuja hapa kwa nabii Flora.
Jamini nimehangaika sana, na nimepoteza fedha nyingi sana, kwa maana kila unapokwenda kutafuta dawa za kuponya UKIMWI lazima uende na shilingi 500,000. Kwa mfano Loliondo tulienda na shilingi 300,000 kwa mtu mmoja, Mtwara nimeenda mara mbili na shilingi 300,000 na nilitakiwa kukaa huko kwa muda wa wiki mbili na nijitegemee malazi na kila kitu. Kuna watu wengine wapo hapa dar es Salaam kama watu au watano ambao nao nimekuwa nikiwaendea na sikuweza kupata mafanikio.
Ninapenda kumshukuru Mungu wa madhabahu hii, nilipokuja ilikuwa ni siku ya Jumapili asubuhi na nilionana na nabii Flora nikamweleza kuwa mimi ninaumwa HIV, na nabii akanitabiria kuwa nitapona na nihudhurie siku 21, kweli nikaudhuria siku 21 na siku ya Ijumaa iliyopita ndio nilitimiza siku 21. Nikaja kwa Nabii Flora na nabii akaniambie niende nikapime kama nimepona au sijapona. Nikamwambia nabii ninaomba niongezee siku 7 za ziada, lakini nabii akanambia nimekuambia nenda ukapime na majibu yawe mabaya au mazuri ninaomba wewe uniletee.
Mchungaji Jury akisoma cheti cha Elizabeth Julius kinachoonyesha hana HIV
Ninamshukuru sana nabii Flora kwani tangia nimefika mahali hapa na kupokea uponyaji, sikuweza kutozwa kitu chochote. Ninamshukuru sana nabii Flora kwani nilipofika hapa na kumueleza shida yangu alinisihi sana kuhudhuria maombi, na akasema, siku nikikosa nauli yeye atanipa nauli. Nabii amekuwa akinipa nauli na ikiiisha naenda kwake na ananisaidia 10,000/=. Pia rafiki zangu kama Jack na Catherine wamekuwa wakinisaidia nauli sana, na mapaka nimemaliza siku zanggu 21 na maombi.
Kwa kweli nikuwa na hofu sana kwenda kupima ikapidi niwachukue marafiki zangu Jack na Catherine ili wanisindikize.
Rafiki zake walikuwa na haya ya kusema juu ya Martha Julius:
Jack (kulia) akishuhudia juu ya rafiki yake Miss Kanda Mashariki 2004/2005,Martha Julius alipona UKIMWI
Jack: Bwana asifiwe, kwa jina ninaitwa Jack, rafiki yake na Martha, na Catherine, tuliamua kwenda St. Mary Kawe kupima, lakini Martha akawa anakata kwani alikuwa haamini kuwa amepona. Tulipofika pale akachukuliwa damu na tukasubiri dakika 15, baada ya dakika 15 akaitwa na alipoitwa daktari akampa majibu na kumwambia sasa uko NEGATIVE. Ilikuwa ngumu sana kwa Martha kuamini. Kabla ya kupima, tukiwa kanisani katika maombi tulikuwa tukimwambia achilia moyo wako kwa Mungu na Mungu wa nabii Flora atafanya miujiza, naye alifanya hivyo na kweli amepkea na sasa ni mzima.

APONA UKIMWI BAADA YA KUAMINI KUWA KWA KUPITIA MTUMISHI WA MUNGU NABII FLORA ATAPONA
Bwana Yesu asifiwe,
Ninamshukuru Mungu kwani amenitendea makuu katika madhabahu hii. Nilianza kuja
hapa mwezi uliopita (Juni) mwanzoni nikiwa na HIV POSITIVE. Kabla ya kuja hapa
kanisani kwa nabii Flora baada ya kungundulika nina POSITIVE, nilikuwa s0ina
amani, nilikuwa sipati usingizi mzuri, saa tano usiku uzingizi unakuwa
umekwisha.
Nilikuja baadaye kukumbuka kuwa kuna mtumishi wa Mungu anaitwa Nabii Flora na kabla ya kuhamia Mbezi Salasala alikuwa Maguruwe. Kipindi hicho cha nyuma kabla sijawa na HIV niilikuwa siamini kuwa Nabii Flora anaweza kutibu UKIMWI, lakini yaliponikuta ikabidi niamini.
Nilikuja hapa kanisani na kuonana na nabii Flora na kumueleza matatizo yangu, naye aliniambia nihudhurie Jumapili nne. Nikajaa Jumapili ya kwanza na ya pili na wiki ya kukaribia Jumapili yan tatu, siku ya Jumatano nikaja. Nikamweleza Nabii Flora kuwa nimekuja na tatizo langu la HIV lile la HIV, na pia nina malaria na Typhoid. Nabii akanambia nenda Jumamosi ukapime. Ninkamwambia Nabii bado sijafikisha mwezi mmoja kama ulivyosema kwaza nina wiki mbili. Nabii akanambia wewe nenda kapime na jibu utakalo likuta njoo nalo, na jibu likwa Negative au Positive wewe njoo mimi nitajua nikutibu vipi. Siku ya Jumamosi nikaenda hospitali ya kwanza Mwananyamala nikakuta Neagative, nikawa siamini, nika mwambia daktari kuwa kuna majibu umeficha na sio hayo, daktari akanambia yeye yuko kazini kwahiyo ahawezi kudanganya.
Nikaenda hospitali ya pili Kijitonyama, na nilipofika nikaambiwa Negative. Nikampigia simu Nabii Flora. Nimepokea muujiza wangu kabla ya siku 21 hazijafika. Ninamshukuru sana Mungu wa Nabii Flora Peter.
Nabii Flora alikuwa na haya ya kusema: Alipokuja kijana huyu siku ya Jumatano ya wiki ya tatu. Mungu akwa amekuja usiku akanambia ninakuletea watu machoni pako, na aliponiletea watu hawa, nikamuona huyu kijana. Siku ya Jumatano ilipofika nikamwambia Nenda ukapime na umeshapona.

BABA ALIYEKUWA NA
KIDONDA KISICHOPONA SASA AMEPONA
Bwana Yesu asifiwe,
kwa jina naitwa Joseph; mimi nilikuja hapa nilikuwa na kidonda kisichopona kwa muda
mrefu, nimezunguka sana bila mafanikio lakini baada ya maombi ya Nabii Flora
sasa nimepona, namshukuru sana Mungu wa mahali hapa.
BINTI ALIYEKUWA
ANAUMWA NA MENO SASA AMEPONA
Bwana Yesu asifiwe,
naitwa Tumaini; mimi nilikuja hapa nilikuwa na tatizo la meno, meno yalikuwa
yaniuma sana hata nashindwa kutafuna andazi, lakini baada ya kuleta dawa ya
meno hapa Nabii akaiombea sasa nimepona na ninakula kila kitu. Namshukuru sana
Mungu.
MTOTO ALIYEKUWA
ANAUMWA SASA AMEPONA BAADA YA KUNYWA MAJI
Bwana Yesu asifiwe;
kunamtoto wa mwenye nyumba wetu alikuwa anaumwa sana, sasa mimi kunamaji ambayo Nabii alikuwa ameyaombea hapa
Kanisana, baada ya kumpelekea akanywa Yule mtoto akanyanyuka na akaanza kuongea
wakati alikuwa hawezi hata kuongea.
MTOTO ALIYEKUWA
AMEPOTEA SASA AMEPATIKANA
Bwana Yesu asifiwe;
mimi nimekuja kutoa shuhuda hapa mtoto wangu alikuwa amepote, lakini baada ya
kuja madhabahu hii na kuombewa sasa mwanangu nimempata kama Nabii alivyonitabiria kuwa mwangu yupo
na nitampata, namshukuru sana Mungu.
MTOTO ALIYEPOTEA SASA
AMEPATIKANA
Bwana Yesu asifiwe;
mimi mwanangu alikuwa amepotea kwa muda wa wiki tatu, lakini baada ya kufika
mahali hapa na kuombewa mwanangu nimempata kama Nabii alivyonitabiria. Na pia
wakati tunarudi nyumbani mtoto huyu alisimama katikati ya barabara wakati
kuna roli kubwa lilikuwa linakuja kwa mwendo wa kasi akasema boranife kuliko
kuendelea kuishi, lakini kwa nguvu za Mungu lile gari liliweza kuchuna breki.
Namshukuru sana Mungu kwa muujiz wake.
MSANII WA BONGO MOVIE
ALIYEKUWA APATI KAZI SASA AMEPATA
Bwana Yesu asifiwe;
mimi ni msanii wa bongo move, nilikuja hapa nikamweleza Nabii kuwa toka mwaka
umeanza sijaitwa nikafanye kazi, lakini baada ya maombi ya Nabii juzi
nikapigiwa simu na msanii mwenza ananiita nikafanye kazi. Kwa kweli namshukuru
Mungu pia nimechaguliwa kuwa kiongozi wa kile kikundi.
MAMA ALIYEZURUMIWA
NYUMBA SASA IMERUDI
Bwana Yesu asifiwe;
mimi nilikuwa na matatizo katika ndoa yangu lakini, mume wangu alinifukuza
tukiwa na nyumba mbili na akaoa mwanamke mwingine lakini baada ya kuja hapa kwa
Nabii Flora na kuombewa juzi mwanaume ananipigia simu ananiambia nikachukue
nyumba yangu inamtesa. Nabii aliniambia kuwa hawatalala mpaka wamerudisha haki
yako. Na kabla ya kesi kuisha wamerudisha nyumba. Namshukuru sana Mungu.
DADA ALIYEKUWA HAPATI
WATEJA WA I MAZIWA SASA ANAUZA SI KAWAIDA
Bwana Yesu asifiwe,
kwa jina naitwa Angle; mimi nina biashara yangu ya maziwa lakini kwa siku
nilikuwa nauza nusu lita au siuzi kabisa, lakini baada ya kuja hapa kwa Nabii
Flora na kuombewa nimepata tenda na nauza lita 30 hadi 50. Namshukuru sana Mungu.
MAMA ALIYEKUWA
ANAUMWA NA KIFUA SASA AMEPONA
Bwana Yesu asifiwe,
naitwa Hawa; mimi ni muhumini mahali hapa, juzi siku ya ijumaa nilikuwa
naumwa na kifua kilikuwa kimenibana sana na ninashindwa kuhema, nikamuomba
Nabii Flora naye akaniombea kwa muda wa dakika chache, baada 8ya kuombewa
nilijisikia wepesi, kifua kilichokuwa kimenibana kikaachia na mafua yakaachia.
Kifua change kuuma kilianza siku nyingi tangia mwaka 1997, nimetibiwa Kiroboto
nikaambiwa nina pumu, nikachekiwa Muhimbili nikaambiwa nikaambiwa nina pumu. Juzi nilipokuwa
nikienda Moshi barabra ilikuwa chafu sana. Pumu yangu ilikuwa ikianza lazima
nikachome sindano za mshipa lakini baada ya kuombewa sasa ni mzima na sijachoma tena zile sindano na ninaendelea vizuri kabisa.Ninamshukuru
sana Mungu.
MTOTO ALIYEKUWA ANAUMWA ALMONIA SASA AMEPONA
Bwana Yesu asifiwe;
nilikuja hapa mwanangu alikuwa anaumwa na Almonia kila siku, uso wake ulikuwa
umevimba na akawa amebadirika uso wake na kuwa mweupe, lakini baada ya kuombewa
na Nabii Flora namshukuru Mungu mwangu amepona na mpaka sasa anaendelea vizuri,
Mungu ambariki sana mtumishi wake Nabii Flora.
DADA ALIYEKUWA APEWI PESA
YA MATUMIZI NA MUME WAKE SASA ANAPEWA
Bwana Yesu asifiwe;
mimi baba watoto wangu alikuwa amenitelekeza anipi matumizi ya watoto, lakini
baada ya kuombewa na Nabii Flora sasa anatoa matumizi na nyumbani analala maana
alikuwa halali nyumbani, namshukuru sana Mungu.
KAKA ALIYEKUWA
ANAUMWA SASA AMEPONA, NA ALIKUWA NA MADENI SASA ADAIWI TENA
Bwana Yesu asifiwe;
Kwa jina naitwa Emalus Justin, ninaishi Kunduchi Mtongani, ni mzaliwa wa
Bukoba, mimi nilikuwa nasumbuliwa na Malaria sana,
nimekunywa sana vidonge bila mafanikio, nimeenda katika hospitali nyingi kama
Mwananyamala, nimemeza dawa sana lakini bado nilikuwa naumwa lakini baada
ya kufika mahali hapa na kuombewa sasa nimepona. Na pia nilikuwa na madeni sana,
nilikuwa na deni lililofikia 500,000/=, nilikua naogopa sana nikidhania nitafungwa. Nilikaja kwa Nabii Flora na yeye aliniuliza
unadaiwa Shilingi ngapi na mimi nilimtaji kiasi nadaiwa, Nabii akaniambia nakwenda kufunga hilo pepo la
madeni na sasa namshukuru Mungu sidaiwi
tena nimeshamaliza madeni yote.
DADA ALIYEKUWA HAPATI
MIMBA SASA AMEZAA MTOTO WA KIKE
Bwana Yesu asifiwe; mimi nilikuja hapa mwezi wa tisa mwaka jana 2012, nilikuwa na tatizo la kutokupata mtoto, lakini baada ya maombi ya Nabii Flora nikapewa siku 14 nitabeba mimba na kweli nilibeba mimba na sasa nimejifungua mtoto wa kike ndo huyu hapa. Namshukuru sana Mungu.

KIJANA APONYWA NA
KIFAFA, UKILEMA WA MGUU NA MKONO WATOWEKA
Bwana Yesu asifiwe;
Kwa jina ninaitwa Maiko natokea Goba hapa Dar es Salaam,
nilikuja siku ya alhamisi wiki iliyopita kwa nabii Flora Peter ili niombewe, nilikuwa na tatizo la kuanguka
kifafa, moyo wangu ulikuwa unapanda sana, tatizo linguine nilikuwa na mguu
mmoja mfupi na mkono mmoja mfupi na mwingine mrefu. Nilikuwa kilema toka
kuzaliwa kwangu . Ninamshukuru sana Mungu kwani zamani mwezi ukiisha naanguka
kifafa, lakini nilipoombewa sijaanguka tena, namshukuru sana Mungu na Mungu
azidi kumlinda mtumishi wake Nabii Flora.
Huyu ni dada aliyeshuhudia huyu kijana akisumbuliwa na kifafa na tatizo lake la ukilema.
MTOTO ALIYEKUWA
AMEKUFA MIAKA MI TATU APISHA NA BABA YAKE MAENEO YA TANDIKA YOMBO
Bwana
Yesu asifiwe; Kwajina
ninaitwa M. Martin Meza, ninaishi Goba jijini Dar es Salaam. Nilifiwa na
mwanangu tarehe 12.01.2011, nikamzika Goba. Nikaja kumuona Nabii Flora nah ii baada
ya kusikia mafundisho yake. Nikaleta picha hapa kwa Nabii Flora na kuiombea
akaniambia mwangu yupo na anapatikana Manzese na saa nyingine Temeke. Nikaenda Manzese na kuuliza watu wa
pale wakanambia ni kweli huyu huwa tunamuona hapa Manzese kuanzia saa 3 usiku
na 11 alfajiri. Sikumuona Manzese bali nikaacha tu maagizo, na baadae nikaenda
Temeke, na nilipouliza wakazi wa pale Temeke wakasema huwa wanamuona majira ya
mchana kuanzisa saa 8 mpaka saa 10, anatoka upande wa mmoja na kwenda upande wa
pili na akielekea huko harudi, na akirudi anarudi siku ya pili katika muda huo
wa saa 8 na saa 10. Nilihangaika kwa wiki nzima bila ya kumpata, na baadae
nikarudi kwa Nabii Flora. Nabii Flora sasa huyu mwanao anapatikana Ubungo, na
pia anapatiaka Tandika Yombo. Nikaenda Ubungo na nikazunguka sana, na baadae
nikakutana na kijana ambaye sikumfahamu akanisalimia shikamoo baba mara tatu na
mimi nikampita..Baada ya hapo nikaenda
Tandika Yombo, nikazunguka kule sana, nikampigia simu Nabii Flora na sikupata
bahati ya kuzungumza naye, basi nikarudi na kumfuata Nabii Flora hapa kanisani.
Nabii akaniuliza ya kuwa kuna kijana mmoja ulikutana naye na akakusalimia, na
alikuwa na nguo Fulani, sasa Yule alikuwa ndiye mtoto wako! Sasa kutokana na kutomtambua, nimemrudishia
jukumu Nabii Flora anisaidie yeye.
DADA ALIYEKUWA KICHAA
SASA AMEPONA NA KUMALIZA MASOMO YAKE (MASTERS)
Bwana Yesu asifiwe;
Kwa jina ninaitwa Mrs. Kaijage, ninamskukuru sana Mungu kwa sababu tangu
nimeombewa na nabii Flora mwaka juzi mpaka leo ninaishi kwa amani. Niliugua
sana, niliteseka sana, lakini tangia nilipofiika kwa nabii Flora na kuniwekea
mkono. Mimi kipindi cha nyuma nilikuwa nimechanganyikiwa na kuwa kichaa,
nilikuwa nikiambiwa niinue mikono juu ili niombewe, ninaanza kuvua nguo zangu .
Nabii Flora alinipa siku 21 za kupokea uponyaji wangu, na sasa nimepona. Pia
nilikuwa na tatizo la kupata mtoto, nabii Flora aliniombea na kuniambia
nitapata mtoto tena wa kiume, na ni kweli nimepata mtoto wa kiume. Mwaka jana
2012 nilimwambia Nabii Flora kuwa ninaenda kusoma Masters, na Ijumaa nimemaliza
masomo yangu na kufanya mtihani wangu wa mwisho, na leo ninatoa shukrani yangu
kwa kuniwezesha kumaliza masomo yangu salama.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni