Tangazo

Tangazo

NEEMA GASPA KUACHIA ALBAMU MPYA YA NI SHUJAA...

Jumatatu, 12 Agosti 2013

MOMBASA KUSIFU NA KUABUDU PAMOJA NA GLORIOUS WORSHIP TEAM


Jina la Yesu linazidi kutukuzwa, na Jumatatu hii tarehe 12 Agosti, Glorius Worship Team watakuwa jijini Mombasa nchini Kenya wakisifu na kuabudu. Mombasa ni mji wa mwambao ambao idadi kubwa ya wakazi ni waislamu. Injili ndio imepelekwa huko, shririki na GWT kwa maombi ili watu wampokee Yesu Kristo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...