Mpiga Picha: Rumafrica +255 715851523
BABA ALIYEKUWA NA KANSA YA KIFUA SASA AMEPONA

Bwana Yesu asifiwe,
naitwa Thadeus Mchomvu; nilikuwa naishi
Mikocheni B, toka mwezi wa tano mwaka jana nilikuwa na matatizo ya kifua.
Nilienda hospitali wakanipima wakaniambia sina TB wala tatizo lolote, mwezi wa
nane mwaka jana nilianza matibabu ya TB lakini baadae nikiwa Hospitali wakasema
sio TB tena wakagundua ni Kansa.
Lakini
nilikuwa nimeshachelewa, nikaambiwa niende Ocean Road, basi wakaniifadhi
Hospitali moja ambayo ipo Tabata City Council.
Basi pale nilitibiwa lakini Doctor aliniambia nimechelewa sana, ikabidi
nianze kuja kwenye maombi nakumbuka nilifika hapa mwezi wa 8, kuna mtoto wangu
aliniambia kuna mama mmoja anaitwa Nabii Flora anaombea watu na wanapona. Basi
nikaja hapa nikaombewa, nakumbuka Nabii Flora aliniambia Mzee utapona,
nashukuru Mungu kweli nimepona, kwa maana mwezi wa kwanza mwaka huu nilipimwa
nikaambiwa sina dalili yoyote ya
Kansa. Namshukuru Mungu na Bwana sifiwe,
(kwa kweli tulifika hapa Nabii akasema hutakufa baba utapona, alikuwa amezidiwa
akawa hawezi hata kuongea lakini Mungu wa Nabii Flora ni wa ajabu, nashukuru
sana Nabii nakumbuka ulinimbia mama hautakuwa mjane).
Wakicheza baada ya kusikia ushuhuda wa baba aliyepona kansa
MAMA ALIYEIBIWA VITU NYUMBANI KWAKE SASA VIMERUDI

Bwana Yesu asifiwe;
nina kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa mema aliyonitendea na maajabu
aliyonionyesha ndani ya madhabahu hii.
Ndani ya wiki tatu zilizopita niliibiwa na kijana wangu wa kazi, kijana
ambaye nilikaa naye kwa muda wa miaka mi tatu, kijana alikuwa mwema mzuri
kabisa akuwa na tatizo lolote. Lakini kwa bahati mbaya siku moja tuliondoka
nimeenda kazini narudi jioni, nikakuta kijana hayupo kuingia ndani nikakuta laptop
yangu haipo pesa pamoja na nguo chache. Basi tukashauriana tukasema tukaripoti
polisi, basi polisi wakajitahidi sana haikuwezekana, tukamtafuta ndugu yake
akatuelekeza mpaka kwao Mtwara.
Tukafunga safari kwenda Mtwara, tulikwenda mpaka Mtwara tukisaidiwa na watu wa kijijini
hapo, tukafika mpaka nyumbani kwao lakini kwa bahati mbaya hatukumpata kijana
yule. Basi tukarudi mimi nikasema kwa nini tusimwachie Mungu sasa kwa sababu
kwa mikono yetu na nguvu zetu tumeshindwa .
Nikaja nikamfuata Nabii nikamweleza
tatizo langu, Nabii akaniambia haitawezekana atarudi mwenyewe na atarudisha
kila kitu. Nabii akaniambia na kule alipo hata lala, atakula na wala hatapata
usingizi, basi wapendwa ndani ya wiki tatu kijana Yule amerudi nyumbani.
Amehangaika kutoka Mtwara hana nauli hana chochote lakini alikuwa anaomba
magari ya mizigo ili aweze kufika Dar es salaam, Mungu alivyo mwema akamrudisha
Dar es salaam akaja mpaka nyumbani.
Kijana alikuja akiwa anatambaa
akaniambia mama ni mimi nimekuja naomba unipokee, basi ile laptop
ilikuwa imeuzwa mara nne, yaani kila aliyekuwa anauziwa alikuwa anauza tena.
Basi mtu wa mwisho alisema naombeni mnipe muda naisafirisha alafu nitaleta tena, kijana yule chini ya ulinzi wa serikali, asubuhi alituma mtu askari akapiga simu akasema mama njoo uangalie kama unaweza kuitambua laptop yako. Basi nikaenda pale nikakuta ile laptop nikaitambua nikamwambia mheshimiwa ndiyo laptop yangu hii, akaniambia kama ni kweli naomba uchukue hii laptop, kwa kweli namshukuru Mungu nilishangilia nilifurahi moyoni. Lakini niimwambia Nabii kijana yule alinifanyia makosa lakini mimi nimemsamehe, basi nilirudi hapa kwetu kwenye madhabahi yetu hii ya Nabii Flora, muheshimiwa Nabii Flora akaniambia kijana yule aje aonane nae. Natoa ushuhda huu nikiwaambia wakristo wenzangu msichezee madhabahu hii, Mungu wa Nabii Flora anatenda kweli na anatenda sasa, ana kesho anafanya sasa namshukuru Mungu.

BABA ALIYEKUWA HATAKI
KUTUMIKA KIMWILI, ATUMIKE KIROHO SASA AMEFANIKIWA
Bwana Yesu asifiwe;
mnanifahamu mimi ni mtumishi hapa mchungaji, wiki iliyopita nilikuwa na
workshop sikuweza kuja hapa kuhudumu kwa wiki yote hii. Nabii alikuwa ananiombea
kwa sababu miaka yangu mitatu pale Akiba Commecial Bank (ACB)nikiwa Mkurugenzi. Kulikuwa na changamoto
kubwa kwa sababu nipo kwenye huduma ya kiroho na nipo kwenye huduma ya kimwili,
mashirika yanaendeshwa kimwili na tena Jumatatu nilipata Email kutoka Uingereza
ambayo inasema niende miezi 6 orientation course kwa hiyo nikawa na changamoto
kubwa.
Kutokana ushuhuda wangu Bwana Yesu alinitokea katika huduma yangu, kwa sababu nilikuwa nasema nitatumikaje kimwili na kiroho, basi nikasema nitapata jibu siku ya jumamosi kama nitachaguliwa kuwa Mkurugezi ambayo inaendeshwa kimwili. Niliomba sana na nilimuomba Nabii anisaidie kuoma, roho wa Bwana namshukuru kwa sababu kwanza hakuniaibisha, tulikuwa watu wanne ambao tunagombea kuchukua nafasi moja. Sasa Roho Mtakatifu ameongea na mimi kwamba hizi kazi za kimwili sasa ni mwisho wangu, kw hiyo akampa mtu ambaye ana PHD mimi nikawa nafasi ya pili, kwa hiyo hakuniaibisha kuwa nafasi ya mwisho, hilo namshukuru Bwana Yesu kwa sababu hakuniaibisha.

DADA ALIYEKUWA H
APATI UJAUZITO SASA ANAUJAUZITO
Bwana Yesu asifiwe,
naitwa Junith Salvatori; mimi nimeolewa na mume wangu nina miaka saba,
tangu miaka hiyo nilikuwa sijafanikiwa kupata mtoto. Nikaja hapa mwezi wa nne
mwaka huu, Jumapili ya Pasaka nikawa nahudhuria ibada hapa, namshukuru Mungu wa
Nabii Flora sasa hivi ni mjamzito.
DADA ALIYEKUWA AMEATHIRIKA
PAMOJA NA MTOTO SASA WAMEPONA
Bwana Yesu asifiwe,
naitwa Priska Andrew natokea manyoni;
kuna rafiki yangu alinipigia simu akaniambia huku Dar es salaam kuna
Nabii anaponyesha virusi vya UKIMWI ndo nikafunga safari mpaka hapa kwa nabii
Flora. Nimekuja hapa ilikuwa tarehe 8, tarehe 9 nikaonana na Nabii nikamwambia
mimi nimeathirika tupo na mtoto, akaniambia nenda kwanza kapime ili uniletee
cheti cha positive ndio nikuombee.
Tarehe 10 nikaenda kupima na mtoto wangu ambaye naye alikuwa na UKIMWI, nikaleta vyeti vya positive, akaniombea akasema nakupa siku 7, kabla ya siku 7 akaniambia nenda kapime umepona, nikaenda kupima pamoja na mtoto nikakuta negative, namshukuru sana Mungu.

MAMA MISS KANDA MASHARIKI TANZANIA 2004/2005
APONYWA KANSA (KULIA)
Bwana
Yesu asifiwe, naitwa Asha Selemani; nilikuja hapa nikiwa na tatizo la Kansa, na
mwanangu alikuwa na HIV. Lakini namshukuru Mungu wa Nabii Flora, mwanagu kabla
ya siku 21 alizopangiwa akawa amepona, na mimi Kansa nimepona, namshukuru Mungu
sana wa mahali hapa
Kulia ni mama wa miss kanda mashariki Tanzania 2004/2005 ambaye mwanae alipona UKIMWI
DADA ALIYEKUWA NA
UVIMBE PAMOJA NA MIRIJA KUZIBA SASA AMEPONA
Bwana Yesu asifiwe,
naitwa Felista; nilikuja hapa mwezi wan ne na uvimbe na mirija imeziba,
nilikuwa nasumbuliwa na tumbo sana nikamuuliza rafiki yangu anaishi huku
Salasala anaitwa Frida. Nilivyoenda kupima niliambiwa natakiwa nizibuliwe
mirija na niafanyiwe operation, nikawa naumia sana sijazaa sina mtoto
nikatobolewe mirija saizi itakuaje, nikakataa kabisa. Baada ya kuongea na
rafiki yangu akaniambia twende kuna Nabii yupo Salasala, nikamwambia mimi
nafanya kazi kwa wahindi sina hata muda wa kutoka, lakini nikawa nakaa naumia
nasema ipo siku Mungu atanisaidia nitatoka nitaenda. Kweli kuna siku
nikafanikiwa nikaomba ruksa nikaja, nikaonana na mama nikamueleza, akaniambia
nihudhurie Jumapili 4 nami nitafunguliwa, nikaja kwa imani. Baada ya hapo
nikawa nimebanwa kazini sikuwa naonekana hapa, nikawa nimepelekwa Morogoro,
nikatoka nikaenda Kigoma, huko nilipokuwa nikaenda kupima maana nilipewa wiki 4
nitakuwa nimepona. Kwenda kucheki Doctor akaniambia huna tatizo lolote,
nikamwambia hapana mbona niliambiwa nina uvimbe alafu mirija yangu imeziba kwa
sababu mimi ni nesi na nilienda kupima kwa mtu ninayemfahamu, kwa sababu
alinihakikishia kabisa.
Baada ya kurudi nikasema haiwezekanani mpaka jumapili niende Kanisani, nikawaambia wale wahindi mimi sintakuja nina matatizo kwa sababu usipo aga unamatatizo hupewi hata ruksa. Leo nikaamka asubuh saa 10 nikawachukuwa wadogo zangu nikaja nao. Nilienda kupima Kijibwan ena doctor ambaye ninamfahamu, akanicheki tena hakakuta sina uvime, nikaenda tena Mnazi mmoja nikaambiwa sina uvimbe. Nikaenda tena kule vijibweni akanipima Yule Doctor akanionyesha kila kitu kinavyoonesha sina uvimbe, nikamwambia mbona mimi nilishapimwa na vyeti hivi apa ninavyo, akaniambia basi tucheki tena , akakuta sina uvimbe lakini sikumwambia kuwa nimekuja kwenye maombi. Nikamshukuru M<ungu kwa kweli nimepona uvimbe maana nilikuwa na wasi wasi, na sasa hivi nimepata mchumba nilikuja hapa nikamwambia mama akanitabiria, na nimetolewa mahari na pete nimevalishwa tutafunga ndoa mwezi wa 10. Namshukuru Mungu wa Nabii Flora.

DADA ALIYEKUWA HIV
SASA AMEPONA (MISS TANZANIA)
Bwana Yesu asifiwe,
naitwa Martha Julius; nilikuja hapa mwezi wa sita, nilikuwa na tatizo la
HIV nikaonana na Nabii, akanipa maombi ya siku 21. Nashukuru Mungu ndani ya
siku 21 nikawa nimepokea uponyaji, na baada ya kupona nikawa nimewataarifu
wenzangu ambao walikuwa na tatizo kama langu, yule dada wa Nairobi, Bibi mzungu
wa Upanga pamoja na Nurati ambae amepokea uponyaji Jumapili iliyopita baada ya ibada.
Wa pili kutoka kushoto ni Miss Kanda Mashariki 2004/2005 Martha Julius
DADA ALIYEKUWA NA HIV
SASA AMEPONA NA NI MJAMZITO SASA
Bwana Yesu asifiwe,
naitwa Anna James; namshukuru sana mama yangu Nabii Flora, nilifika hapa
nikiwa na HIV mwezi wa 11 mwaka jana. Ilipofika mwezi wa 3 tarehe 2 mwaka huu
nikapona HIV, nilipokuja hapa nilikuwa na CD4 96, baada ya kuhudhuria maombi ya
miezi mi tatu nikawa na CD4 341.
Tumeishi na Virusi vya UKIMWI toka mwaka 2001, na nilivyo kuja hapa nikamwambia Mchungaji Komba maadamu mwenzangu wameacha magongo na mimi nitaacha dawa zangu hapa. Na baada ya kupona HIV sasa ni mjamzito, namshukuru Mungu.

KAKA ALIYEKUWA
ANAHITAJI KWENDA NJE SASA ANAENDA (MSANII)
Bwana Yesu asifiwe,
naitwa Mkuwa; mimi ni mwana muziki kwa jina la kisanii naitwa Kachumbari,
nimekuja hapa kama wiki mbili zimeshapita. Nilikuwa na matatizo yangu ya
kikazi, mimi ninabendi ya kwangu mwenyewe, nilikuwa nasafiri kwenda Ulaya
lakini baadae nikawa sisafiri.
Lakini nimekuja kwa dada hapa nashukuru mwenyezi Mungu nikabeka CD zangu na Pasport ya kusafiria, kuja kumuomba dada aniombee niweze kusafiri au CD yangu ihiet niweze kuonekana, ili niweze kusafiri na wenzangu kwenda nje. Lakini bahati nzuru dada kaniletea mzungu tiketi hii hapa anakuja kunichukua mwezi wa 12, ninawaambia wenzangu kwamba wageuke waje kwa Mungu katika madhabahu hii ya Nabii Flora, na huyo mzungu ni mwanamke amesema ananipenda anataka niwe mume wake.

...akionyesha picha ya mke wake mtarajiwa (Mzungu) katika simu yake...
DADA ALIYEKUWA MTUKUTU AMEBADILIKA NA SASA AMEPATA KAZI NZURI

Bwana Yesu asifiwe, naitwa
Sayuni; mimi napenda kumshukuru Mungu kwa mambo makuu aliyonitendea katika
madhabahu hii ya Nabii Flora, kwa sababu mimi binafsi familia ilikuwa
hainiamini kabisa na nilikuwa sieleweki na kila nilichokuwa naongea walikuwa
wananiona mimi ni muongo. Kwa sababu nimeshawahi kufanya vituko mara nyingi,
walishawahi kunipeleka nikasome uwalimu nikaacha, wakanitafutia kazi kwenye
mikopo nikafanya kazi mwezi mmoja nikaacha, nikapelekwa tena sehemu nyingine
mbili nikafanya muda mchache nikaacha.
Ikafikia hatua nikakopa pesa alafu nikaandikisha vitu vya mama yangu bila yeye kujua, na kunasiku nilimpa mama yangu mirungi nikamdanganya ni dawa ya jino, lakini namshukuru Mungu wa madhabahu hii kwa kuniokoa. Nimekuja hapa kama wiki moja iliyopita nikamueleza Nabii kwamba nataka mume, kazi, pamoja na vitu vingine vingi, Nabii akaniambia niombe siku 21 nitavipata hivyo vitu. Nashukuru Mungu juzi Alhamisi nimepigiwa simu kuna barua yangu imetoka Airport inasema niende nikaanze kazi tarehe 1, kwa hiyo namshukuru Mungu sana. Na kitu kingine jana nilienda Morogoro kutoa taarifa nashukuru Mungu walini[pokea vizuri na huwa nikisafiri sina tabiaya ya kupigiwa simu, lakini sasa hivi napigiwa napendwa na wananijali, jina la Bwana lihimidiwe jamani.

MTOTO ALIYEPOTEA SASA
AMEPATIKANA
Bwana Yesu asifiwe;
mwanangu alikuwa amepotea lakini baada ya kuja hapa na kuombewa nilivyorudi
nyumbani nikaambiwa amerudi. Nilipomuuliza alikuwa wapi akaniambia alikuwa na
marafiki zake alafu wakaondoka wakaenda kwa bibi, bibi akawapa tikiti maji
.((Nabii) huyu mama alikuwa anamkanda mume wake saa tisa usiku kuangalia mtoto hayupo wameshampora, alipokuja nilimwambia huwa sitabiri usiku lakini nitakusaidia, nikamwambia nenda Bunju ingia nyumba ya tatu, akanimbia saizi usiku sana basi nikamwambia nakutumia malaika wangu watamleta.)

BABA ALIYEPOOZA SASA
AMEWEZA KUSIMAMA
Shuhuda mwingine mume wangu amepooza kwa muda wa miezi mi
tatu, lakini baada ya kumleta hapa na kuombewa sasa anatembea na anaongea.
Nawaambia waumini wenzangu, Watanzania tuzidi kumuomba Mungu kuwa na imani na kila unachoomba unapata, napenda niwaambie watanzania mkija hapa kwa Nabii Flora muwe na imani na kila kitu kinatendeka.

MAMA ALIYEKUWA AMEPOOZA USO SASA AMEPONA
Bwana Yesu asifiiwe, naitwa Linda natokea Mwenge; mimi
nilikuwa nimepooza uso tarehe 20 mwezi wa 3, nikawa siwezi kuongea wala
kutembea.
Baada ya kuambiwa siku ya jumatano usiku saa tatu, asubuhi saa moja mimi nilikuwa hapa kwa Nabii Flora, na aliponiona tu nilipata uponyaji kama mnavyoniona sasa hivi naweza kuongea, Mungu asifiwe. Nawasihi Watanzania wenzangu na sisi tuliopo hapa mkatangaze Mungu wa Nabii Flora ni mponyaji, kwa kweli nashukuru Mungu sura yangu sasa hivi inaanza kuonekana, nilivyo jiangalia kwenye kioo sikuamini mcho yangu maana sura ilikuwa kama kinyago.

MAMA ALIYEKUWA ANATAKIWA
AFANYIWE OPERATION SASA AMEPONA
Bwana Yesu asifiwe,
naitwa Hendrew Mbena; mimi ni
mtumishi wa serikali natokea Makambako, ninamiezi mitatu nlikuwa nikimuuguza
mke wangu hapa Dar es salaam. Tumehangaika sana Muhimbili lakini tulivyosikia
kwamba kuna Nabii Flora kupitia yeye Mungu anafanya kazi.
Mke wangu alikuja akawa anahudhuria hapa kwa Nabii Flora kwa kweli Mungu ni wa ajabu. Tulipewa siku za matazamio ili akafanyiwe operesheni, kwenda mara ya pili Muhimbili tukakuta mafaili hayaonekani, baadae faili lilipokuja kuonekana vipimo vyote viilivyofanywa navyo vikawa havionekani. Akatakiwa kupima tena vipimo vipya, tulivyopima tena wakakuta yupo safi hakuna tatizo lolote.

MTOTO ALIYEKUWA
AMEVIMBA BEGA SASA AMEPONA
Shuhuda wa pili, wakati tumeenda kupima vipimo vya pili
nikasikia mwanangu nyumbani anaumwa bega, ilikuwa ni siku ya Jumatatu nikawaomba
wenzangu wanipelekee hospitali, kupimwa wakasema mishipa imekaa vibaya. Kwa
hiyo alitakiwa afanye mazoezi mpaka Jumamosi ya jana, basi mimi nikaona kuliko
aendelee kukaa kule Hospitali, tukashauriana aje huku tuendelee kumtibu huku lakini
aje kwenye maombi.
Nilivyoenda kumpokea nilitamani niupokee mzigo mimi kwa mateso aliyokuwa nayo, maana bega moja lilikuwa limepanda juu ya kichwa alikuwa kama kanjiwa. Basi tulivyofika hapa mimi nikabaki hapo nje nikawaambia nyie ingieni, sasa kuingia hapa nashangaa hiyo saa sita na nusu mtoto anatoka mabegi aliyokuwa nayo pamoja na la mama yake yote ameyabeba, akaniambia baba nimepona. ((Nabii) tunafanya kazi kana nyati aliyejeruika, tupo kwaajili ya watu kufunguliwa).

Wazazi wa mtoto
BINTI ALIYEKUWA NA
MAPEPO SASA AMEPONA
Bwana Yesu asifiwe,
naitwa Ennausi Asangalus natokea Mkoani Mbeya; hapa nimeletwa na mtu aliyekuwa ananiambia
twende kwa Nabii Flora, akanambia umehangaika sana umetanga tanga lakini pale
utafika na utapokea muujiza wako. Huyu binti yetu ameanza kuangaika ndani ya
miaka 2, tumezunguka makanisa mengi sana mpaka tukaja kufikia hapa, tumekuja
siku ya Alhamisi hapa tumetokea Mtoni kwa Azizi Ali.
Tulienda kwenye maombi kanisa la Ufufuo, Katunzi, Salu tumezunguka sana baada ya kukutana na binti mmoja akatuambia kwa Nabii Flora kuna upoinyaji twendeni. Tukasema sawa tutaenda kwa sababu tunatafuta uponyaji, tumekuja hapa Alhamisi tukaingia ibada ya saa nne. Kwa kweli tuliingia na hali mbaya sana, toka tumeingia hapa huyu binti amezimia karibia masaa 2 au 3, tumesikiliza ibada Nabii Flora akasema mwacheni hapo hapo, anagaragara kama nyoka vile.
Baada ya hapo Nabii Flora akamuombea na mpaka sasa hivi ni mzima, Alhamisi tukalala hapa kanisani, Ijumaa tukashinda hapa kanisani, nsa sasa ni mzima na mpaka leo hii anaendelea vizuri ni mzima atutegemeia kama pepo litamkumba tena. Tunamshukuru Mungu sana na huyu ni mtoto wake wa kwanza.

VIUPELE MIGUUNI SASA AMEPONA (ANSILA)
Bwana Yesu asifiwe,
naitwa Ansila Hasani; Mungu amenifanyia miujiza, nimetoka Tabora miaka sita
nilikuwa na alegi ya miguu, nilikuwa na vipele miguuni.
Namshukuru Mungu nimepona, nawaambia Watanazania muwe na imani mkifika hapa, pia namshukuru sana dada Tekla ndiye aliyenipeleka kwenye Kanisala la walokole kule juu Salasala lakini mimi nikamwambia imani yangu ipo kwa Nabii Flora twende unipeleke jumapili. Jumapili iliyopita vnilikuja hapa nah ii ni jumapili ya pili, nimekuja hapa nimepokea uponyaji wangu, nashukuru sana.

MTOTO ALIYEPATA AJALI
KATIKA MAZINGIRA YA KUTATANISHA AKAFA
SASA ANAONEKANA
Bwana Yesu asifiwe;
kuna mtoto wa ndugu yangu aligongwa na gari mwezi wa 11 mwaka jana akafariki,
basi mdogo wangu akanipigia simu akaniambia mtoto wake amepata ajali amekufa.
Siku hiyo ilikuwa siku ya jumamosi, sasa inabidi watu tunaosali hapa ukipatwa
na tatizo inabidi umfahamishe Nabii. Wakati huyo mtoto anasoma alimwambia baba
yake akipata division 1, 2, 3 ni ya baba lakini 4 na 0 ni ya kwake, kwa hiyo ikawa inaonyesha
kwamba amekata tamaa akawa anapenda sana kuendesha magari makubwa.
Basi mimi nilipopata taarifa hiyo nikampigia Nabii simu, baada ya kumpigia Nabii simu akaniambia kwamba atanitafuta ili aweze kumuuliza Mungu wake kwamba hichi kifo ni cha ukweli au ni namna gani. Basi mimi nikatoka nyumbani nikaenda kulala kwa Nabii, nilipofika nikamwambia mimi ndo niliye kupigia simu kuwa mtoto wa mdogo wangu amekufa, akaniambia unapicha hapo nikamwambia hapana, basi akaniambia niende nikazike alafu nirudi na picha yake nitakuja kuifanyia maombi mtoto huyo ni mzima.
Basi nilivyorudi nikaja na picha, sasa kila nilipokuwa nahudhuria hapa Nabii alikuwa anaishika ile picha anaiyombea, siku moja jirani akanipigia simu akasema anamuona yule mtoto, sasa huyo mama akawa anamuuliza mume wake inakuwaje huyu mtoto wa watu yupo huku ndeani kwetu, yule mwanaume akawa ajali. Alivykua anaona kila siku mtoto yupo sebuleni akakimbilia huku, lakini yule mtoto akaendelea kubaki na yule baba, sasa huyo baba akawa anajificha watu wakawa wanamtafuta haonekani, lakini sasa hivi huyo mtoto wanamuona anatokea nyumbani kwa huyu baba alafu anarudi. Na pia tuliteta mchanga wa lile kaburi alilozikwa, Nabii akaugusa sasa juzi wamepiga simu wanasema wale walioshirikiana kufanya hayo mambo wameshaanza kuchanganyikiwa sasa hivi.

SASA AMEPONA
Bwana Yesu asifiwe,
naitwa Mwajabu; nilikuja kwa Nabii
nikamwambia tatizo langu, nikamwambia naumwa tu ninapofika chuoni lakini
sielewi tatizo ni nini.
Nabii akaniambia niende nikacheki HIV, nilicheki HIV nikakuta kweli ninayo, nikamwambia nimeipataje akaniambia kwa ndugu zako. Nyumbani walinificha lakini dakika za mwisho niligundua, waganga wa kienyeji waliniambia lakini nilikuwa siamini, walinipeleka Loliondo lakini sikufanikiwa, baada ya kuja hapa kwa Nabii alinipa siku 21. Ndani ya siku 21 nimepona.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni