Tangazo

Tangazo

NEEMA GASPA KUACHIA ALBAMU MPYA YA NI SHUJAA...

Jumanne, 18 Februari 2014

MESS JACOB CHENGULA AKIFANYA MAHOJIANO KATIKA KITUO CHA CHANNEL TEN JUU YA UZINDUZI WA ALBAMU YAKE YA MUNGU HABADILIKI

Huu ni wakati wa kupiga magoti mbele za Mungu akuwezeshe kupata kibali cha kufika katika tamasha hili kubwa la uzinduzi wa albamu ambayo imefanyiwa katika location mbalimbali kama China Dubai, Tanzania na Japan. Humo utaona jinsi gani Mungu alivyomtumia mwimbaji huyu kuleta ujumbe kwako kwa njia ya uimbaji. Mess Jacob Chengula amebahatika kupata kibali kutoka kwa Mungu kwa kumuwezesha kupata waimbaji 20 maarufu Tanzania watakaiomba siku hiyo kwaajili yako wewe utakayefika. Kutakuwa na mgeni rasmi ambaye ni Naibu Waziri wa Mawasiliano, Mh. Januari Makamba.


Unaweza kumjua Mess Jacob kwa kutembelea blogu yake www.messchengula.blogspot.com

Kushoto ni Mess Jacob Chengula akiwa na mtangazaji wa Channel Ten wakifanya mahojiano




Tangazo limetengenezwa na RumAfrica +255 715 851523
You might also like:

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...