Tangazo

Tangazo

NEEMA GASPA KUACHIA ALBAMU MPYA YA NI SHUJAA...

Jumatatu, 10 Februari 2014

MESS JACOB CHENGULA KUACHIA DVD YA MUNGU HABADILIKI SIKU YA JUMAPILI 2.MACHI.2014 UBUNGO PLAZA

Kwa mara ya kwanza tungependa kuwaonyesha kava la DVD ya Mess Jacob Chengula ambayo siku ya Jumapili 02.03.2014 itazinduliwa katika ukumbi wa UBUNGO PLAZA hapa jijini Dar es Salaam kuanzia saa 6 mchana na kuendelea. Kutakuwa na waimbaji zaidi ya 20 watakaoimba siku hiyo. Mgeniwetu rasmi atakuwa Naibu Waziri wa Mawasiliano, Mh. Januari Makamba. Kingilio kwa VIP ni Tsh 10,000 na viti vya kawaida ni Tshs. 5,000. Utaweza kujinunulia Tshs zenye nembo ya "Mungu Habadiliki" kwa kufanya hivyo utakuwa ni mmoja wa kusambaza sifa ya Mungu kwa kupitia hiyo Tshirts.



WADADA WA YESU KRISTO WATAKAOIMBA SIKU HIYO
|
Neema Gasper
http://www.eatv.tv/media/picture/large/DSC00725.jpg
Upendo Nkone

Miriam Lukindo
http://sphotos-e.ak.fbcdn.net/hphotos-ak-ash4/305134_491792437498137_939330742_n.jpg
Rose Muhando

Atosha Kissava katika ofisi ya Rumafrica

Na wengine wengi kama unavyowaona katika banner hapo chini


Tembelea blogu yake

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...