Tangazo

Tangazo

NEEMA GASPA KUACHIA ALBAMU MPYA YA NI SHUJAA...

Alhamisi, 20 Februari 2014

NYAGA'S INTERNATIONAL MINISTRY LOGO. NEMBO YA HUDUMA YA UREJESHO MKUU WA MUNGU HII HAPA


Mtume Nyaga kwa msaada wa Mungu ameweza kuachia logo ya Nyaga's International Ministry ambayo ni nembio ya Huduma ya Urejesho Mkuu ya Kimataifa. Katika huduma hii utaweza kulishwa chakula cha Mungu kwa kupitia huduma hii. Kuna vitu vingi vitakuwepo katika huduma hii kwa utukufu wa Mungu. Moja ya huduma hizi ni kuanzisha TV ya Urejesho ambayo itahusika na kurusha habari  njema za Mungu tu. Zidi kutembelea blogu hii kujua mengi kuhusiana na Huduma hii ya Urejesho Mkuu wa Mungu au Nyaga's International Ministry

Logo hii imetengenezwa na RumAfrica
www.rumaafrica.blogspot.com
+255 715851523

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...